2 Nya. 36:16 SUV

16 lakini waliwadhihaki wajumbe wa Mungu, na kuyadharau maneno yake, na kuwacheka manabii wake, hata ilipozidi ghadhabu ya BWANA juu ya watu wake, hata kusiwe na kuponya.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:16 katika mazingira