2 Nya. 36:17 SUV

17 Kwa hiyo akaleta juu yao mfalme wa Wakaldayo, aliyewaua vijana wao kwa upanga nyumbani mwa patakatifu pao, asiwahurumie kijana wala mwanamwali, mzee wala mkongwe; akawatia wote mkononi mwake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:17 katika mazingira