18 Na vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, vikubwa kwa vidogo, na hazina za nyumba ya BWANA, na hazina za mfalme, na za wakuu wake; vyote pia akavileta Babeli.
Kusoma sura kamili 2 Nya. 36
Mtazamo 2 Nya. 36:18 katika mazingira