2 Nya. 36:5 SUV

5 Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na mmoja; akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, Mungu wake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:5 katika mazingira