2 Nya. 36:4 SUV

4 Mfalme wa Misri akamtawaza Eliakimu nduguye awe mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Neko akamtwaa Yehoahazi nduguye, akamchukua mpaka Misri.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 36

Mtazamo 2 Nya. 36:4 katika mazingira