2 Nya. 4:3 SUV

3 Na chini yake palikuwa na mifano ya ng’ombe, walioizunguka pande zote, kwa mikono kumi, wakiizunguka pande zote ile bahari. Ng’ombe walikuwa safu mbili, wakayeyushwa hapo ilipoyeyushwa hiyo bahari.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 4

Mtazamo 2 Nya. 4:3 katika mazingira