2 Nya. 6:10 SUV

10 Basi BWANA amelitimiza neno lile alilolinena; nami nimesimama mahali pa Daudi baba yangu, na kuketi katika kiti cha enzi cha Israeli, kama BWANA alivyoahidi, nami nimeijenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:10 katika mazingira