2 Nya. 6:9 SUV

9 lakini si wewe utakayeijenga nyumba hiyo; ila mwanao atakayetoka katika viuno vyako, yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa jina langu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:9 katika mazingira