2 Nya. 6:20 SUV

20 ili macho yako yafumbuke kwa nyumba hii mchana na usiku, mahali uliponena, ndipo utakapoliweka jina lako; usikie maombi atakayoomba mtumwa wako, akikabili mahali hapa.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:20 katika mazingira