2 Nya. 6:21 SUV

21 Uyasikie atakayosihi mtumwa wako, na watu wako Israeli, watakapoomba wakikabili mahali hapa; naam, usikie toka makaoni mwako, toka mbinguni, nawe usikiapo, samehe.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:21 katika mazingira