2 Nya. 6:27 SUV

27 basi usikie huko mbinguni, ukaisamehe dhambi ya watumwa wako, na ya watu wako Israeli; uwafundishapo njia njema iwapasayo waiendee; ukainyeshee mvua nchi yako, uliyowapa watu wako iwe urithi.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:27 katika mazingira