2 Nya. 6:26 SUV

26 Ikiwa mbingu zimefungwa, hata hakuna mvua, kwa sababu wamekukosa wewe; kama wakiomba wakikabili mahali hapa, na kulikiri jina lako, na kuiacha dhambi yao, uwatesapo;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:26 katika mazingira