2 Nya. 6:25 SUV

25 basi usikie huko mbinguni, ukaisamehe dhambi ya watu wako Israeli, na kuwarejeza tena katika nchi uliyowapa wao na baba zao.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:25 katika mazingira