2 Nya. 6:24 SUV

24 Ikiwa watu wako Israeli wamepigwa mbele ya adui zao, kwa sababu wamekukosa wewe; kama wakirejea kwako, na kulikiri jina lako, wakikuomba na kukusihi nyumbani humu;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:24 katika mazingira