2 Nya. 6:23 SUV

23 basi, usikie mbinguni, ukatende, ukawahukumu watumwa wako; ukimlipiza mwovu, kumpatilizia njia yake kichwani; ukamfanyie haki mwenye haki, ukimjalia kwa kadiri ya haki yake.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:23 katika mazingira