2 Nya. 6:36 SUV

36 Wakikukosa, (maana hakuna mtu asiyekosa), hata uwakasirikie, na kuwatia mikononi mwa adui zao, wawahamishe, na kuwachukua mateka mpaka nchi iliyo mbali au iliyo karibu;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:36 katika mazingira