2 Nya. 6:37 SUV

37 basi wakikumbuka katika nchi walikohamishwa, na kutubu, na kukusihi katika nchi ya uhamisho wao, wakisema, Tumekosa, tumetenda kwa ukaidi, tumefanya maovu;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:37 katika mazingira