2 Nya. 6:38 SUV

38 wakurudiapo kwa mioyo yao yote, na kwa nia zao zote, katika nchi ya uhamisho wao, adui walikowahamisha, wakiomba na kuielekea nchi uliyowapa baba zao, na mji huu uliouchagua, na nyumba hii niliyoijenga kwa jina lako;

Kusoma sura kamili 2 Nya. 6

Mtazamo 2 Nya. 6:38 katika mazingira