2 Nya. 7:12 SUV

12 BWANA akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:12 katika mazingira