2 Nya. 7:11 SUV

11 Hivyo Sulemani akaimaliza nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme; na yote yaliyomwingia Sulemani moyoni ayafanye nyumbani mwa BWANA, na nyumbani mwake mwenyewe, akayafanikisha.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 7

Mtazamo 2 Nya. 7:11 katika mazingira