2 Nya. 9:20 SUV

20 Na vyombo vyote vya kunywea vya mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vya nyumba ya mwitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu iliyosafika; fedha haikuhesabiwa kuwa kitu siku za Sulemani.

Kusoma sura kamili 2 Nya. 9

Mtazamo 2 Nya. 9:20 katika mazingira