Hab. 1:12 SUV

12 Ee BWANA, Mungu wangu, mtakatifu wangu, wewe si wa milele? Hatutakufa. Ee BWANA, umemwandikia hukumu, nawe, Ee Jabali, umemweka imara ili aadhibishwe.

Kusoma sura kamili Hab. 1

Mtazamo Hab. 1:12 katika mazingira