Hab. 1:13 SUV

13 Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe usiyeweza kutazama ukaidi, mbona unawaangalia watendao kwa hila; na kunyamaza kimya, hapo mtu mwovu ammezapo mtu aliye mwenye haki kuliko yeye;

Kusoma sura kamili Hab. 1

Mtazamo Hab. 1:13 katika mazingira