Hab. 2:18 SUV

18 Sanamu ya kuchora yafaa nini, hata yeye aliyeifanya ameichora? Sanamu ya kuyeyuka, nayo ni mwalimu wa uongo, yafaa nini, hata yeye aliyeifanya aiwekee tumaini lake, na kufanya sanamu zisizoweza kusema?

Kusoma sura kamili Hab. 2

Mtazamo Hab. 2:18 katika mazingira