Hab. 2:19 SUV

19 Ole wake yeye auambiaye mti, Amka; aliambiaye jiwe lisiloweza kusema, Ondoka! Je! Kitu hicho kitafundisha? Tazama, kimefunikwa kwa dhahabu na fedha, wala hamna pumzi ndani yake kabisa.

Kusoma sura kamili Hab. 2

Mtazamo Hab. 2:19 katika mazingira