17 Maana mtini hautachanua maua,Wala mizabibuni hamtakuwa na matunda;Taabu ya mzeituni itakuwa bure,Na mashamba hayatatoa chakula;Zizini hamtakuwa na kundi,Wala vibandani hamtakuwa na kundi la ng’ombe;
Kusoma sura kamili Hab. 3
Mtazamo Hab. 3:17 katika mazingira