Hes. 11:10 SUV

10 Basi Musa akawasikia watu wakilia katika jamaa zao zote, kila mtu mlangoni pa hema yake; na hasira za BWANA zikawaka sana; Musa naye akakasirika.

Kusoma sura kamili Hes. 11

Mtazamo Hes. 11:10 katika mazingira