Hes. 11:11 SUV

11 Musa akamwambia BWANA, Mbona umenitenda uovu mimi mtumishi wako? Kwa nini sikupata neema machoni pako, hata ukanitwika mzigo wa watu hawa wote juu yangu?

Kusoma sura kamili Hes. 11

Mtazamo Hes. 11:11 katika mazingira