24 Musa akatoka, akawaambia watu maneno ya BWANA; akawakutanisha watu sabini miongoni mwa wazee wa watu, akawaweka kuizunguka Hema.
Kusoma sura kamili Hes. 11
Mtazamo Hes. 11:24 katika mazingira