Hes. 11:25 SUV

25 Ndipo BWANA akashuka ndani ya wingu, akanena naye, akatwaa sehemu ya roho iliyokuwa juu ya Musa, akaitia juu ya wale wazee sabini; ikawa, roho hiyo ilipowashukia, wakatabiri, lakini hawakufanya hivyo tena.

Kusoma sura kamili Hes. 11

Mtazamo Hes. 11:25 katika mazingira