Hes. 13:26 SUV

26 Wakaenda wakafika kwa Musa, na kwa Haruni, na kwa mkutano wote wa wana wa Israeli, katika jangwa la Parani, huko Kadeshi; wakawaletea habari, wao na mkutano wote, wakawaonyesha matunda ya nchi.

Kusoma sura kamili Hes. 13

Mtazamo Hes. 13:26 katika mazingira