Hes. 13:27 SUV

27 Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, na hakika yake, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, na haya ndiyo matunda yake.

Kusoma sura kamili Hes. 13

Mtazamo Hes. 13:27 katika mazingira