31 Bali wale watu waliopanda pamoja naye wakasema, Hatuwezi kupanda tupigane na watu hawa; kwa maana wana nguvu kuliko sisi.
Kusoma sura kamili Hes. 13
Mtazamo Hes. 13:31 katika mazingira