Hes. 13:32 SUV

32 Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.

Kusoma sura kamili Hes. 13

Mtazamo Hes. 13:32 katika mazingira