Hes. 13:33 SUV

33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Kusoma sura kamili Hes. 13

Mtazamo Hes. 13:33 katika mazingira