Hes. 14:27 SUV

27 Je! Nichukuane na mkutano mwovu huu uninung’unikiao hata lini? Nimesikia manung’uniko ya wana wa Israeli, waninung’unikiayo.

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:27 katika mazingira