Hes. 14:28 SUV

28 Waambieni, Kama niishivyo, asema BWANA, hakika yangu kama ninyi mlivyonena masikioni mwangu, ndivyo nitakavyowafanyia ninyi;

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:28 katika mazingira