Hes. 14:35 SUV

35 Mimi BWANA nimekwisha nena, hakika yangu ndilo nitakaloutenda mkutano mwovu huu wote, waliokusanyika juu yangu; wataangamia katika nyika hii, nako ndiko Watakakokufa.

Kusoma sura kamili Hes. 14

Mtazamo Hes. 14:35 katika mazingira