Hes. 16:15 SUV

15 Musa akakasirika sana, akamwambia BWANA. Usiikubali sadaka yao; mimi sikutwaa hata punda mmoja kwao, wala sikumwumiza hata mtu mmoja miongoni mwao.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:15 katika mazingira