17 mkatwae kila mtu chetezo chake, na kutia uvumba juu yake, mkavilete mbele za BWANA, vyetezo mia mbili na hamsini; wewe pia, na Haruni, kila mtu na awe na chetezo chake.
Kusoma sura kamili Hes. 16
Mtazamo Hes. 16:17 katika mazingira