Hes. 16:27 SUV

27 Basi wakaondoka hapo karibu na maskani ya Kora, na Dathani na Abiramu, pande zote; nao kina Dathani na Abiramu wakatoka nje wakasimama mlangoni mwa hema zao, pamoja na wake zao, na wana wao na watoto wao wadogo.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:27 katika mazingira