Hes. 16:28 SUV

28 Musa akasema, Kwa jambo hili mtajua ya kwamba BWANA amenituma, ili nifanye kazi hizi zote; kwa kuwa mimi sikuzifanya kwa akili zangu mwenyewe.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:28 katika mazingira