Hes. 16:29 SUV

29 Kama watu hawa wakifa kifo cha sikuzote, kama watu wote wafavyo, au kama wakipatilizwa kwa mapatilizo ya watu wote; hapo basi BWANA hakunituma mimi.

Kusoma sura kamili Hes. 16

Mtazamo Hes. 16:29 katika mazingira