Hes. 20:28 SUV

28 Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake, akamvika mwanawe Eleazari mavazi hayo; Haruni akafa huko katika kilele cha mlima; Musa na Eleazari wakatelemka mlimani.

Kusoma sura kamili Hes. 20

Mtazamo Hes. 20:28 katika mazingira