29 Na mkutano wote ulipoona ya kuwa Haruni amekufa, wakamwombolea Haruni muda wa siku thelathini, maana, nyumba yote ya Israeli ikamwombolea.
Kusoma sura kamili Hes. 20
Mtazamo Hes. 20:29 katika mazingira