Hes. 21:13 SUV

13 Kutoka huko wakasafiri, wakapanga upande wa pili wa Arnoni, ulio jangwani, utokao katika mpaka wa Waamori; maana, Arnoni ndio mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:13 katika mazingira