Hes. 21:2 SUV

2 Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:2 katika mazingira