Hes. 21:22 SUV

22 Nipe ruhusa nipite katika nchi yako; hatutageuka kando kwenda mashambani, wala kuingia katika mashamba ya mizabibu hatutakunywa maji ya visimani; tutakwenda kwa njia kuu ya mfalme, hata tutakapokuwa tumepita mpaka wako.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:22 katika mazingira