Hes. 21:24 SUV

24 Israeli wakampiga kwa makali ya upanga, na kuimiliki nchi yake, tangu mto wa Arnoni hata mto wa Yaboki, mpaka nchi ya wana wa Amoni; kwa kuwa mpaka wa wana wa Amoni ulikuwa una nguvu.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:24 katika mazingira