Hes. 21:32 SUV

32 Kisha Musa akapeleka watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo.

Kusoma sura kamili Hes. 21

Mtazamo Hes. 21:32 katika mazingira